Vijiji vya Watoto vya Kimataifa vya SOS ni Asasi inayojumuisha asasi zaidi ya 134 za kitaifa
duniani kote. Ni Asasi isiyo ya Kiserikali au ya Kidini inayotoa huduma moja kwa moja za
malezi, elimu na afya kwa watoto walio hatarini kupoteza au waliopoteza malezi ya wazazi.
Asasi hii pia inatoa mafunzo ya kujenga uwezo wa walezi wa watoto, familia zao na jamii ili
watoto wapate malezi ya kutosha.

MALEZI_MBADALA_YA_WATOTO

recommend to friends
  • Google+
  • PrintFriendly