24
Oct
2014

MWONGOZO WA MALEZI MBADALA YA WATOTO

Vijiji vya Watoto vya Kimataifa vya SOS ni Asasi inayojumuisha asasi zaidi ya 134 za kitaifa
duniani kote. Ni Asasi isiyo ya Kiserikali au ya Kidini inayotoa huduma moja kwa moja za
malezi, elimu na afya kwa watoto walio hatarini kupoteza au waliopoteza malezi ya wazazi.Read More

MALEZI_MBADALA_YA_WATOTO